Makala ya hatua-kwa-hatua kuhusu kila moduli ya Kanisa-MS — kutoka kumuongeza mshirika wa kwanza hadi kutuma WhatsApp wingi.
Hatua za kwanza baada ya kusajili kanisa lako — onboarding wizard, kuingiza washirika, na kuanzisha michango.
Jinsi ya kuongeza, ku-edit, na kuangalia ripoti ya mshirika mmoja-mmoja.
Michango ya kawaida, ahadi (pledges), na campaigns kama vile mfuko wa ujenzi.
Bulk SMS kwa idara au washirika wote, na auto-reminders za michango.
Tuma invoices, statements, na taarifa kwa WhatsApp moja kwa moja kupitia Meta Cloud API.
Jinsi ya kulipa invoice, kubadili plan, na kupata risiti.
Tuandikie barua pepe — tunaongeza miongozo mipya kila wiki kulingana na watumiaji wanavyouliza.