Miongozo yote
Michango

Kuingiza Michango

Michango ya kawaida, ahadi (pledges), na campaigns kama vile mfuko wa ujenzi.

Michango ya Kawaida

Nenda Contributions → New. Chagua mshirika, kategoria (mfano: sadaka, zaka), kiasi, na tarehe.

Kampeni za Maalum (Mfano: Ujenzi)

Nenda Campaigns → New Campaign. Tengeneza kampeni "Ujenzi wa Kanisa" yenye target. Kila ahadi (pledge) ya mshirika itaingizwa hapo. Malipo ya ahadi yataingizwa kwenye Pledge Payments.

Kuona Ripoti

Nenda Reports → Contributions. Chagua kipindi (mwezi, mwaka). Utaona jumla kwa kategoria, kwa idara, na kwa mshirika.

Export

Bonyeza Export kupata PDF au Excel.