Mfumo wa Kitanzania · Data yako ni mali yako

Simamia Kanisa Lako kwa
Mfumo Mmoja Kamili

Washirika, mahudhurio, sadaka, matumizi, idara, SMS, na ripoti — yote sehemu moja, 100% Kiswahili, na bei nafuu kwa kanisa lolote.

13+Modules
13Role Types
100%Kiswahili UI
Washirika
Tunatumiwa na 11+ makanisa Tanzania

Kila Kitu Unachohitaji kwa Kanisa

Mfumo mmoja unaobeba mahitaji yote ya kiutawala — bila kuhamishia data hapa na pale.

Washirika

Profaili kamili na picha, simu, familia, na uongozi. Search ya haraka.

Mahudhurio

Check-in kwa QR code au manual. Ripoti ya wastani — wiki, mwezi, mwaka.

Sadaka & Zaka

Rekodi sadaka, zaka, michango ya ahadi. Risiti za PDF moja kwa moja.

Matumizi

Approval workflow — secretary anaomba, mchungaji anaaprove, na audit trail.

Idara

Vijana, wanawake, choir — kila idara na portal yake, sadaka na matumizi.

Zones na Shemasi

Mgawanyo wa kijiografia, kufuatilia kazi ya kichungaji na ushemasi.

Member Portal

Washirika wanaona michango yao, taarifa za familia, na sasisho.

Ripoti

Financial, mahudhurio, growth — PDF/Excel exports kwa kasi.

SMS Notifications

Tuma SMS kwa makundi, sender ID yako mwenyewe ya TCRA.

WhatsApp Kanisa

Tuma invoice, statements na taarifa kwa WhatsApp — moja kwa moja kupitia Meta Cloud API rasmi.

Fundraising

Campaign zenye lengo, ahadi za washirika, progress tracking live.

Uongozi

Wachungaji, viongozi, na kalenda ya majukumu yao.

13 Roles & Permissions

Admin, pastor, treasurer, secretary, dept/zone leaders na zaidi.

Anza Kwa Dakika 5 — Sio Wiki

1
Sajili Kanisa

Jaza form ya kanisa. Subdomain yako (mfano kanisalako.kanisa.or.tz) inazaliwa moja kwa moja.

2
Ingiza Washirika

Import kutoka Excel au CSV, au kutumia link ya self-registration na QR code.

3
Wezesha Modules

Chagua vipengele unavyohitaji — modules zote ziko kwenye trial yako.

4
Tumia Jumapili

Check-in wa mahudhurio, rekodi sadaka, tuma SMS — yote tayari.

QR Code ya Kujisajili — Bila Kuchapisha

Weka QR code mlangoni mwa kanisa, kwenye group ya WhatsApp, au kwenye poster — washirika wanachemua simu zao, wanajaza fomu, na admin anapokea taarifa moja kwa moja.

  • Hakuna app ya kupakua
  • Hakuna login inayohitajika kwa wenye taarifa mpya
  • Admin ana approval workflow
  • Poster ya A4 imeprint-tayari
QR Sample
Mfano wa QR code

Bei Nafuu — Bila Kificho

Anza bure siku 30. Hakuna kadi inayohitajika.

Starter

Kwa makanisa ya washirika 0-500

TZS 10,000 /mwezi

au TZS 100,000/mwaka — okoa miezi 2

  • Modules zote (washirika, sadaka, matumizi, idara)
  • Subdomain yako (slug.kanisa.or.tz)
  • Member portal
  • Backups za wiki
  • Email support
  • SMS notifications (ongeza separately)
Anza Trial Bure

Bei haijajumuisha SMS — vifurushi vya SMS vinanunuliwa separately kuanzia TZS 25/SMS.

Imejengwa kwa Makanisa ya Tanzania

Database ya Kanisa Lako Pekee

Kila kanisa lina DB binafsi — data yako haichanganyiki na ya wengine.

Kiswahili 100%

UI nzima ni Kiswahili — kuanzia menu hadi ripoti za PDF.

Selcom Integration

Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, Visa — washirika wanalipa kwa urahisi.

Backup Otomatiki

Data inahifadhiwa kila wiki, na export ya Excel/CSV inapatikana wakati wowote.

Updates za Bure

Vipengele vipya vinaongezwa kila mwezi — kufuatia maoni ya makanisa yanayotumia.

Support kwa WhatsApp

Wasiliana nasi WhatsApp au simu — tunajibu haraka kwa Kiswahili.

Maswali na Majibu

Je, data yangu iko salama?
Ndio. Kila kanisa lina database yake binafsi — data yako haichanganyiki na kanisa lingine. Tunatumia HTTPS na backup kila wiki.
Naweza kuingiza washirika kutoka Excel?
Washirika wanahitaji smartphone?
Naweza kupata data yangu wakati wowote?
Mfumo unatumika kwa madhehebu yote?
Naweza kuwa na multi-branch?
Nani anamiliki data?
Trial inaisha vipi?
Naweza kuongeza watumiaji wengi?
Mfumo unafanya kazi bila internet?
Una Akaunti Tayari?

Ingia kwa username, email, au simu yako kupitia portal kuu.

Ingia Sasa
au
https:// .kanisa.or.tz
Hujasajili Bado?

Anzisha kanisa lako leo — trial siku 30 bure.

Sajili Kanisa Bure

Hakuna kadi inayohitajika

Tayari Kuanza?

Jiunge na makanisa yanayotumia Kanisa-MS kusimamia washirika, sadaka, na ibada.

Sajili Sasa — Bure Wasiliana WhatsApp
Tuandikie WhatsApp