Leta makanisa. Pata kamisheni.
Kanisa-MS ni mfumo wa kusimamia kanisa — washirika, sadaka, SMS na WhatsApp. Unapoleta kanisa jipya, unapata sehemu ya malipo yake.
- 20% ya malipo ya kwanza ya kila kanisa unaloleta
- 10% ya kila malipo yanayofuata, kwa miezi 12
- Kanisa likilipa mwaka mzima, unapata 20% ya mwaka mzima mara moja
- Kamisheni ya malipo ya kwanza ya kanisa jipya inasubiri siku 14 (muda wa refund); ya malipo yanayofuata iko tayari mara moja
- Link yako na msimbo wako — kanisa likibofya link au likiandika msimbo, linahesabiwa kwako
- Malipo kwa M-Pesa, Mixx, Airtel Money au benki
Una kanisa linalotumia Kanisa-MS tayari? Jiunge ndani ya mfumo wa kanisa lako: Mfumo → Pata Kamisheni.