Mfumo wa Kitanzania · Data yako ni mali yako

Simamia Kanisa Lako kwa
Mfumo Mmoja Kamili

Washirika, mahudhurio, sadaka, matumizi, idara, SMS, na ripoti — yote sehemu moja, 100% Kiswahili, na bei nafuu kwa kanisa lolote.

18+Modules
13Role Types
100%Kiswahili + English
Washirika
Tunatumiwa na 12+ makanisa Tanzania

Kila Kitu Unachohitaji kwa Kanisa

Mfumo mmoja unaobeba mahitaji yote ya kiutawala — bila kuhamishia data hapa na pale.

Washirika

Profaili kamili na picha, simu, familia, na uongozi. Search ya haraka.

Check-in kwa QR

QR moja ya kudumu kwa kila tawi. Ibada inapickiwa kiotomatiki, na PIN inayoonyeshwa skrini inazuia wasiofika kujiandikisha.

Ratiba Zinazojirudia

Weka mara moja — Jumapili, Jumatano, Ijumaa. Mfumo unatengeneza ibada za mwaka mzima wenyewe.

Sadaka & Zaka

Rekodi sadaka, zaka, michango ya ahadi. Risiti za PDF moja kwa moja.

Matumizi

Approval workflow — secretary anaomba, mchungaji anaaprove, na audit trail.

Idara

Vijana, wanawake, choir — kila idara na portal yake, sadaka na matumizi.

Zones na Shemasi

Mgawanyo wa kijiografia, kufuatilia kazi ya kichungaji na ushemasi.

Portal ya Mshirika

Kuingia kwa OTP — bila password. Mshirika anaona michango, mahudhurio, ratiba na risiti zake, na anaweza kupakua taarifa.

Ibada Mubashara

Unganisha YouTube, Facebook Live, redio au TV ya kanisa — washirika wanatazama ndani ya portal yao.

Mifungo ya Maombi

Mfungo wa siku 21, 7, 3 au moja. Maombi ya kila siku hutumwa SMS/WhatsApp, na mshirika anathibitisha "Nimeomba".

Matukio ya Umma

Semina na mikutano yanaonekana kwenye portal, ukurasa wa umma, na widget ya kubandika kwenye website yako.

Ripoti

Financial, mahudhurio, growth — PDF/Excel exports kwa kasi.

SMS Notifications

Tuma SMS kwa makundi, sender ID yako mwenyewe ya TCRA.

WhatsApp Kanisa

Tuma invoice, statements na taarifa kwa WhatsApp — moja kwa moja kupitia Meta Cloud API rasmi.

Fundraising

Campaign zenye lengo, ahadi za washirika, progress tracking live.

Wageni

Mgeni akijisajili anapokea SMS ya karibu kiotomatiki, na anabadilishwa kuwa mshirika kwa bonyeza moja.

Uongozi

Wachungaji, viongozi, na kalenda ya majukumu yao.

13 Roles & Permissions

Admin, pastor, treasurer, secretary, dept/zone leaders na zaidi.

Anza Kwa Dakika 5 — Sio Wiki

1
Sajili Kanisa

Jaza form ya kanisa. Subdomain yako (mfano kanisalako.kanisa.or.tz) inazaliwa moja kwa moja.

2
Ingiza Washirika

Import kutoka Excel au CSV, au kutumia link ya self-registration na QR code.

3
Wezesha Modules

Chagua vipengele unavyohitaji — modules zote ziko kwenye trial yako.

4
Tumia Jumapili

Check-in wa mahudhurio, rekodi sadaka, tuma SMS — yote tayari.

QR Code ya Kujisajili — Bila Kuchapisha

Weka QR code mlangoni mwa kanisa, kwenye group ya WhatsApp, au kwenye poster — washirika wanachemua simu zao, wanajaza fomu, na admin anapokea taarifa moja kwa moja.

  • Hakuna app ya kupakua
  • Hakuna login inayohitajika kwa wenye taarifa mpya
  • Admin ana approval workflow
  • Poster ya A4 imeprint-tayari
QR Sample
Mfano wa QR code
PORTAL YA MSHIRIKA

Kila Mshirika Ana Akaunti Yake — Bila Password

Mshirika anaingiza namba yake ya simu, anapokea msimbo kwa SMS, na yuko ndani. Anaona michango yake, mahudhurio, ratiba ya ibada, na anaweza kupakua risiti na taarifa zake mwenyewe — bila kumuuliza secretary.

  • Kuingia kwa OTP ya SMS — hakuna password ya kusahau
  • Ratiba ya ibada za mwaka mzima — leo, kesho, na wiki zijazo
  • Risiti na taarifa za michango za kupakua wakati wowote
  • Ibada mubashara, redio na TV ya kanisa ndani ya portal
  • Maombi ya mfungo wa siku — anathibitisha "Nimeomba"
  • Anasasisha profaili na namba yake mwenyewe
Msimbo unaisha baada ya dakika chache, na mshirika anaona data yake pekee.
NM
Neema Mushi
Kanisa Langu · MBR-0142
Michango 2026
TZS 480,000
Mahudhurio 2026
38/42
Ratiba ya ibada
Leo
Ibada Kuu ya Jumapili
09:00 · Ukumbi Mkuu
Ibada ya Jioni
18:00 · Ukumbi Mkuu
Nyumbani
Maombi
Tazama
Michango
Profaili
Portal halisi ya mshirika kwenye simu

Bei Nafuu — Bila Kificho

Anza bure siku 30. Hakuna kadi inayohitajika.

Starter

Kwa makanisa ya washirika 0-500

TZS 55,000 /mwezi

au TZS 550,000/mwaka — okoa miezi 2

  • Modules zote (washirika, sadaka, matumizi, idara)
  • Subdomain yako (slug.kanisa.or.tz)
  • Portal ya mshirika — kuingia kwa OTP
  • Check-in kwa QR na ratiba zinazojirudia
  • Ibada mubashara na mifungo ya maombi
  • Matukio ya umma + widget ya website
  • Backups za wiki
  • Email support
  • SMS notifications (ongeza separately)
Anza Trial Bure

Bei haijajumuisha SMS — vifurushi vya SMS vinanunuliwa separately kuanzia TZS 25/SMS.

Imejengwa kwa Makanisa ya Tanzania

Database ya Kanisa Lako Pekee

Kila kanisa lina DB binafsi — data yako haichanganyiki na ya wengine.

Kiswahili na Kiingereza

UI nzima ipo lugha zote mbili — kuanzia menu hadi ripoti za PDF. Kila mtumiaji anachagua yake.

Malipo ya Simu Ndani ya Mfumo

Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, Visa. Push inakuja moja kwa moja simuni — hakuna kuelekezwa nje ya mfumo.

Sakinisha Kama App

Bandika kwenye home screen ya simu — inafunguka kama app, bila kupitia Play Store.

Widget ya Website Yako

Matukio ya kanisa yanaweza kubandikwa kwenye website yako kwa msimbo mmoja — yanajisasisha yenyewe.

Rekodi Haifutwi Kimya

Kila mabadiliko yana audit trail — nani, lini, na alibadilisha nini.

Backup Otomatiki

Data inahifadhiwa kila wiki, na export ya Excel/CSV inapatikana wakati wowote.

Updates za Bure

Vipengele vipya vinaongezwa kila mwezi — kufuatia maoni ya makanisa yanayotumia.

Support kwa WhatsApp

Wasiliana nasi WhatsApp au simu — tunajibu haraka kwa Kiswahili.

Maswali na Majibu

Je, data yangu iko salama?
Ndio. Kila kanisa lina database yake binafsi — data yako haichanganyiki na kanisa lingine. Tunatumia HTTPS na backup kila wiki.
Naweza kuingiza washirika kutoka Excel?
Washirika wanahitaji smartphone?
Mshirika anaingiaje kwenye portal yake?
Je, ratiba ya ibada inajitengeneza?
QR ya check-in inafanyaje kazi?
Tunaweza kuonyesha ibada mubashara?
Naweza kupata data yangu wakati wowote?
Mfumo unatumika kwa madhehebu yote?
Naweza kuwa na multi-branch?
Nani anamiliki data?
Trial inaisha vipi?
Naweza kuongeza watumiaji wengi?
Mfumo unafanya kazi bila internet?
Una Akaunti Tayari?

Ingia kwa username, email, au simu yako kupitia portal kuu.

Ingia Sasa
au
https:// .kanisa.or.tz
Hujasajili Bado?

Anzisha kanisa lako leo — trial siku 30 bure.

Sajili Kanisa Bure

Hakuna kadi inayohitajika

Tayari Kuanza?

Jiunge na makanisa yanayotumia Kanisa-MS kusimamia washirika, sadaka, na ibada.

Sajili Sasa — Bure Wasiliana WhatsApp
Tuandikie WhatsApp