Miongozo yote
SMS na WhatsApp

Kutuma SMS kwa Washirika

Bulk SMS kwa idara au washirika wote, na auto-reminders za michango.

Bulk SMS

Nenda SMS → Send. Chagua wapokeaji: All, Department, Zone, Status, au Member-by-member.

Kuona Preview

Bonyeza Continue kuona ujumbe utakavyoonekana kwa mpokeaji + idadi ya credits zitakazotumika.

Auto-reminders

Nenda Settings → SMS. Washa auto-reminders ili kanisa lituma SMS otomatiki: kuhusu kumshukuru baada ya mchango, kumkumbusha mtu aliyekosa, n.k.

Credits

Salio la SMS huonekana Top-right. Nunua zaidi kwenye Billing → Buy SMS Credits.

Miongozo inayohusiana