Miongozo yote
Malipo na Bili

Malipo na Subscription

Jinsi ya kulipa invoice, kubadili plan, na kupata risiti.

Kupata Invoice

Invoice itakuja kwa email + SMS siku 7 kabla ya renewal. Pia inaonekana Billing → Invoices.

Njia za Malipo

  • Selcom — taps mara moja, M-Pesa/Tigo Pesa/Airtel/Card
  • Manual — tuma kwa simu/akaunti iliyoonyeshwa, kisha ingiza reference

Kubadili Plan

Nenda Billing → Plan. Chagua plan mpya (Starter / Growth / Enterprise). Itaanza kutumika mwezi unaofuata.

Risiti

Baada ya malipo, risiti inakuja email otomatiki. Pia ipo Billing → Payments.